Friday, November 14, 2014

Naomba ushauri jinsi ya kumtoa mpenzi wangu bikra bila maumivu





















Shababi moja jina kapuni,ajikuta akipasua jipu kali lililokuwa likimsumbua kwa muda sasa......,


"Mzee Mzima yamenishinda Kila nikijaribu Kuweka kitu yangu , Mchumba wangu anaumia sana so tunashindwa kuendelea , miaka miwili sasa imepita tukijaribu anaumia sana na mie namuonea huruma akishaanza kulia tu natoa nisije muumiza...Mimi naamini mapenzi ni raha na si kuumizana so sitaki kumuumiza wangu wa maisha ...Sasa naombeni kama kuna mtu anajua njia raisi ya kutoa bikira ambayo mpenzi wangu hata umia hata kidogo...."
Tafadhali msaidieni kijana mwenzenu!!!

0 comments:

Post a Comment